Serengeti fiesta 2014 special thread

Serengeti fiesta 2014 special thread

nasubiri nithibitishe kwa macho yangu Davido anaperfom licha ya zuio la mahakama

Davido akiperfom italeta tafsiri mbaya sana na itaonekana kuna wako juu ya sheria!
 
Katika hawa wachezaji wa huyu mrs MJ,kuna huyo mmoja ana mzigo flani hivi wa kuvutia...
Ndio neema zenyewe hizo.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Ndio shida ya wachambia jiwe kelele nyigi JF... wanajidai kuponda fiesta kumbe ni broke niggas haya sasa Davido keshatua nendeni mkamkamate
 
Back
Top Bottom