namsubiri FA apande jukwaani namkubali sana huyu jamaa
Hupitwi ndugu?
haa haa naanzaje kupitwa sasa...
wako fiestani hao....mimi nipo ntafurahi na wewe
Kumbe na kwenye kideo wanaonyesha?
Hivi haiwezekani kuwapenda wote wawili kama mimi,?
Nafikiri muhuni TI anapanda saa tisa akiwa keshalewa pombe zake anaimba nyimbo tatu anachukua hela yake ya supu anasepa
Nafikiri muhuni TI anapanda saa tisa akiwa keshalewa pombe zake anaimba nyimbo tatu anachukua hela yake ya supu anasepa
Alikiba kwenye stage huwa hana jipya kabisa!
Mwanafa na ally kina ndo wanaonifanya niumwe na mbu kuwasubiri
Mnh hili jibaba nalo halikosekani ilaukiangalia kwa umakini kwa hizo picha mbili hapo utagundua kitu
TI yupo hotelini kwake anapost picha tu insta