sweetie stone
JF-Expert Member
- Apr 12, 2014
- 417
- 95
Mnh hili jibaba nalo halikosekani ilaukiangalia kwa umakini kwa hizo picha mbili hapo utagundua kitu
Omy dimpoz hamna kitu,pamoja na masarakasi yake
Hivi huyu mtangazaji katoka kwenye kigodoro au? Ni aibu sanaaaa ni zaudi ya kituko kweli fani imevamiwa hadi mwenyewe anaona aibu kweli hata kama kashtukizwa hata yy kuenda huko hakujiandaa?View attachment 194561
Hahaaa huyo Davido walivyojishaua hata kuja mara hata perform kisa wamemzuia na mahakama wapiii huyoo mjengoni Clouds kweli wababe sijapata ona
Haaaa maana ile asubuhi ilikua mshike mshike nikaona na yule Dida wa times kalishikia bango Davido hatopanda jukwaani .... T.I wamemsema anakuja huku mara kuna Ebola au atumie mechanism kama ya Akon ye ndio walaaa
Hahahaaaaa,hivi umewahi kuona show ya T.I.D???utachoka...alafu yeye anajisifu eti ni nilipiga sarakasi nyingi sana...
Haaaa maana ile asubuhi ilikua mshike mshike nikaona na yule Dida wa times kalishikia bango Davido hatopanda jukwaani .... T.I wamemsema anakuja huku mara kuna Ebola au atumie mechanism kama ya Akon ye ndio walaaa
Hiyo Fiesta ndio kitu gani?
Hahahaha yule mla unga mpaka mziki ushamshinda sikuhizi... Mi napendaga sana ile interview yake ya mkasi alivyokua anamchomolea yule jamaa kumjibu maswali yake
ngoma ya watoto huwa haikeshi,,nataka nimuone matumbo amwage damu mana alisema kama davido atapanda damu itamwagika
Heheiyaaa damu zikianza kumwagika pulizi usiache kunishtua.....