Serengeti fiesta 2014 special thread

"Habari zake za ngono zinakuwa habari za kitaifa...."This is real a freak!(jus laughing)Mkuu umerusha jiwe gizani.
 

el nino tz ilisimama kwa dk ngapi
 
Last edited by a moderator:
Diamond ni jembe ktk muziki huu kizazi kipya. Na ninavyomjua huyu jamaa atatoa kitu kingine kikali muda si mrefu kuwanyong'oshe wote waliomzomea. Jamaa nyimbo zake zinaburudisha watu wa rika zote, mashabiki wake na hata wasio mashabiki wake!

.,duu ! acha uongo we dogo,tupo tusiopenda izo takataka...
 
Unafikiri kila mtu atamsifia Diamond? Kama amezomewa basi hiyo ni challenge na ajiulize kwanini kazomewa sio kuanza kulalamika tu,mbona kwenye mpira wachezaji wanazomewa sana tu.Si kwa sababu kafanikiwa ndio maana watu wanamzomea lah ila kwa sababu kuna vitu afanyavyo vinawakera mashabiki.
 
Kauli, matendo, mwenendo, mahusiano n.k!!!!
Hivi anaishi maisha ya Kitanzania, Kiafrika au ya wapi??!!!

Ukijiweka wazi sana kwa maisha yetu ya Kibongo tegemea mengi kukuzunguka na kuzungumzwa juu yako, mengine mazuri mangine mabaya, huwezi kupendwa na wote wala kuchukiwa na wote ila kuna sehemu utakutana na wanaokupenda tupu na utafurahi ila ikitokea vinginevyo pia inahitaji upembuzi kubaini haya!!!!

Akae na washauri wa rika na mitazamo tofauti ili akae kwenye nafasi yake halisi!!!
Kuzomewa ni ujumbe kwake,pole yake ila analo la kujifunza!!
 
oh my gosh!!!
 
Namuombea Diamond achange hela anunue CESSNA, aanze kutembea hewani maana wabongo wakiwa wanakuona kila siku na wanajua ulikotoka ni shida. Private Jet ndio mwendo unaotakiwa kwa sasa kwa huyu dogo aachane na competition za kibongo za X5 sijui X6 aende next level.
 
Lakini tuwe wakweli,hawa klauz maccm kuna kamchezo wamemchezea hapa diamond,i smell something..diamont atakuwa kawagomea kutumika kama akina FA
huyu dogo ashatumiwa sana na hao clouds na hayo ni sehemu ya malipo yake!
 
What goes around comes around...mimi ni mmoja wa wanaotamani huyu dogo afulie..sijui kwanini tu...bila shaka nitakuwa na roho mbaya tu...but to be honest,huyu kijana ana dharau sana siku hizi,hajui waliompandisha wanaweza kumshusha vilevile!

Utasubir sana
 
Hata p square walikuwa wanapondwa nchini kwao kwa mafanikio waliyoyapata,Leo maadui wao wanaona aibu.Diamond asikatishwe tamaa na wanafiki.
 
Duh!!! Dalili ya mvua sio mawingu ni manyunyu... Ndo nimeyaona Leo jamani... Kitu kuzomewa mpaka wa upande wako wakugeuke inauma sana jamani.. Pole yake akae akijua hakuna marefu yasiyo na mwisho... Afu mpanda ngazi ushuka.. Mkubali mkatae mashabiki ndio majudge was mwisho.... Karibu kakang Kiba... Tumechoka na majivuno,skendo na dharau... Aliye juu usimgoje mfate huko huko...
 
Watanzania tuna wivu na roho mbaya sana. Kijana Diamond Platinum anafanya vizuri sana ndio maana wale wenye wivu na roho za kwanini wanaingilia kati! DIAMOND PLATINUM ni nyota inayowaka ndani na nje ya Tanzania ktk muziki wa kizazi kipya.
 
Sio shabiki wa wabana pua.

Lakini hii ya Clouds, Diamond and Alikiba niliisikia mahali. Nikifananisha na hii post sasa naanza kukubali ukweli.

Clouds nyie wabaya sana
 
Si huyu2 ndo aliwahi kusema Mbeya hakuna Hotel yenye hadhi yake??!! Basi na wazidi kumzomea.. 👏👏👏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…