Serengeti fiesta 2014 special thread

Serengeti fiesta 2014 special thread

Sio domo huyooooooo
Jamani wale waliompigisha mbizi yule jamaa wapo wapi waje wamkamate domoo hhhhaaa
 
Ok up date List ya Jumla,haina Ubishi Weusi wamebadilisha hali ya hewa hapa Leaders,shoo ya uhakika,mavazi na hata mpangilio wa nguvu nadhani wamepewa muda mrefu zaidi,2imeshikwa na fundi mwenyewe Ally k sa sijui kakodi zile shangwe au tutajuwa mwishoni,3 Mwana F.A da kwa jeshi la mtu mmoja F.A katisha sana na 4. stamina naye kafanya pouwa ila mavazi katuangusha,5 Mr Blue na crew yake si mbaya,sasa mfalme Chibu ndani ya nyumba
 
Diamond foreverrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
riafande marwaaa njoo huku kuna rimtu rimevaa sare zenu
 
Diamonda kesho anakesi ya kujibu kisutu ataeleza nguo za jeshi katoa wapi
 
Hafu domo mbona kavaa nguo za jeshi si haziruhusiwi akamatwe apigishwe mbizi naye
 
Mamaaaaa hivi hakuna wajeda hapa huyu Diamond anatakiwa abaki na Boxer tu.
 
Back
Top Bottom