Serengeti fiesta 2014 special thread

Serengeti fiesta 2014 special thread

Saa saba nalala, siwezi endelea jitesa.
 
Heeeeee yoooo Staminaaa mwambie dada afunge mlango wako asiuache waziiiiiiiiiiii wuuuuuuuuuuuuuuu
Pole lady unaepepetwa na dume mistari inachomaaaa
 
Sijawah muelewa STAMINA hata siku moja. Kelele tu.
 
Hhhhaaa lazimaaa aiseee hivi atalala bongo eee nahis kina Davido leo hawatapumua kwenye hotel wanazolala kina jokate uuuuwiii

hahaaaa afu davido mtoto mdogo ssana ujue wa 92 watambemenda tu
 
Heeeeee yoooo Staminaaa mwambie dada afunge mlango wako asiuache waziiiiiiiiiiii wuuuuuuuuuuuuuuu
Pole lady unaepepetwa na dume mistari inachomaaaa

Hahaaaa,kanikera eti hadi shoga ana mpenzi wadada kweli tuna huruma
 
Heeeeee yoooo Staminaaa mwambie dada afunge mlango wako asiuache waziiiiiiiiiiii wuuuuuuuuuuuuuuu
Pole lady unaepepetwa na dume mistari inachomaaaa

Hahahha amesema mwanamke hajiuzi sababu unatumia anaondoka nacho
 
Back
Top Bottom