Serengeti fiesta 2014 special thread

Serengeti fiesta 2014 special thread

du ok kwa wanaifuatilia shoo,kwangu 1.F.A,2. Blue with his crew na 3. Stamina kama nakosea mnaweza kutoa maoni yenu.

Kweli kabisa show ndio hizo huyo Ney ni mpiga makelele
 
Jamaa kawachana fasta waharibifu
Cc: warumi
 

Attachments

  • 1413668683880.jpg
    1413668683880.jpg
    64.6 KB · Views: 297
Dah Huyu NEY anasema kuna Wabunge MASHOGA kazi yao ni kulala tu.mhhhh
 
Back
Top Bottom