Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,001
- 72,284
wazungu wanaogopa ebola jamani kkaah
hapo akitoka stejin anaenda mwa dk.kupimwa
Hhhhaaa yaan kama hapo kuna ebola hao hawaponii kabisaa
wazungu wanaogopa ebola jamani kkaah
hapo akitoka stejin anaenda mwa dk.kupimwa
Ndio anaimba FA ee
kvp?dadavua
kwa tathimin hadi mda huu bado blue na crew yake wanashika nafasi ya kwanza kwa shangwe hawa yamoto band bado sana,wameharibu kwenye mavazi,ok namuona T.I wa bongo aka F.A ndio yupo stejini now
Ni kweli kabisa Micharazo wamekula shangwe kubwa sana, halafu hawakuwa na kuremba remba wala stori nyingi, ilikuwa ni mawe tu.
Ova
Hhhhaaa yaan kama hapo kuna ebola hao hawaponii kabisaa
hiv bila kusema nyosha mikoni juu wasanii wanahisi kama wadau hawana mzuka
Mwana F.A kaonyesha nini maana ya kumiliki jukwaa,kuanzia mavazi,kuimba na mashabiki sasa blue anashuka nafasi moja,F.A kamaliza mchezo hivi T.I anamuona huyu pacha wake anachokifanya hapa uwanjani
FA tangu akosane na LADY Jay Dee... Mvuto umeisha ..
Mashine ya kuokea mikate....
Hhhhaaa yaan kama hapo kuna ebola hao hawaponii kabisaa
for sure am dissapointed, tamasha kubwa km hili na wasanii wakubwa jamani alafu mambo km haya jamani!! ni aibu kwakweli