Serengeti fiesta 2014 special thread

Serengeti fiesta 2014 special thread

Leo Ney kavaa suriali ya demu wake
Hhhheee unafanya mziki miaka kumi hata bajaji huwez kumilikii kwa kupost picha insta mnaongoza hhhhaaaaaaa
 
du ok kwa wanaifuatilia shoo,kwangu 1.F.A,2. Blue with his crew na 3. Stamina kama nakosea mnaweza kutoa maoni yenu.
 
Hilo li nay litoke bwana,silipendi mikelele tu
 

Attachments

  • 1413668410078.jpg
    1413668410078.jpg
    55.9 KB · Views: 293
Back
Top Bottom