Serengeti fiesta 2014 special thread

Serengeti fiesta 2014 special thread

kwa tathimin hadi mda huu bado blue na crew yake wanashika nafasi ya kwanza kwa shangwe hawa yamoto band bado sana,wameharibu kwenye mavazi,ok namuona T.I wa bongo aka F.A ndio yupo stejini now
 
hv kweli anaweza live yule!! na wanavyopenda kucheza kwa nguvu mpaka wanaishiwa pumzi ya kuimba sasa!!! hizo energy wanazo kina usher,beyonce,chriss brown, bongo bado sanaaaaa

Ni kweli aisee hadi mishipa hafu hawana sauti nzuri kuimba unajua playback imepitia studio wana bore live wawaachie akina beyonce
 
hiv bila kusema nyosha mikoni juu wasanii wanahisi kama wadau hawana mzuka
 
Wote wameingiza watu wao kitaaa wa kuwashangilia na kumpomda mpinzan,Kida na Mbagala wote watoto wa kkoo wahuni tu wao chuki ndo deal,subirien shangwe na booo za kutosha........

kvp?dadavua
 
kwa tathimin hadi mda huu bado blue na crew yake wanashika nafasi ya kwanza kwa shangwe hawa yamoto band bado sana,wameharibu kwenye mavazi,ok namuona T.I wa bongo aka F.A ndio yupo stejini now

hahaaaaa!! daresalaaaaaaam
 
wazungu wanaogopa ebola jamani kkaah
hapo akitoka stejin anaenda mwa dk.kupimwa
 
Back
Top Bottom