ndo naamka ila mi kwangu cloudstv sina
Like seriously am down.....hii.inamaanisha even diamond atapga cd huu ni wendawazimu....ruge acha ujinga bwana
umeona eeh,halafu hawa wazungu wanafikiri Africa ni nchi,mwe wamemkazania ebola ebola,acha awatukane na kawaambia atawablock,ila ana matusi
Tbc1 je?

wanaonyesha?!!