Serengeti fiesta 2014 special thread

Serengeti fiesta 2014 special thread

Davido akiperfom italeta tafsiri mbaya sana na itaonekana kuna wako juu ya sheria!
Ndugu yangu Ruttashobolwa, kama ukienda jela siku ya kwanza na kukuta wafungwa wenzio wanapigana basi usigombelezee hata kidogo. kwa maana unaweza kwenda kumshika yule mbabe ambaye anaonekana kumuonea mwingine naye akaanza kujigamba kwa kusema si nilikwambia mimi,huyu wangu mimi.
Lengo la kusema haya si kukutakia Shekhe wangu uende jela,ila katika huo ugomvi ni kuangalia tu..

"Nlikuwepo":bolt:
 
Last edited by a moderator:
Show imeanza hawa ndio wanafaa kulipwa
 
Blue angefaa awe Dj wa baadhi ya wasnii wakiwa wanafanya show, maana anajua kupiga kelele sana.

"Nlikuwepo":bolt:
 
hivi kwa kelele hizi za kina blue aweza kweli kuimba live bila back up!!?? watu waelewa anaimba nn kweli!!! duuuh mie nackia daresalaaaaaaam tu
 
hivi kwa kelele hizi za kina blue aweza kweli kuimba live bila back up!!?? watu waelewa anaimba nn kweli!!! duuuh mie nackia daresalaaaaaaam tu

Dj angemuacha kidogo tuone kama anaweza live
 
hivi kwa kelele hizi za kina blue aweza kweli kuimba live bila back up!!?? watu waelewa anaimba nn kweli!!! duuuh mie nackia daresalaaaaaaam tu

Hawawezi aisee mi naskia kelele kuweka cd bila live ni wizi si bora ujitaftie ucheki home
 
Kwani lazima ulazimishe watu wapige kelele?
Naimiss ile show ya fa kwenye ktma,very classic tena live
 
Back
Top Bottom