King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,341
- 88,511
Fiesta ni Upuuzi kama Upuuzi mwingine.
Fiesta ni Upuuzi kama Upuuzi mwingine.
Si mmeambiwa Davido anakuja ?
akipafom basi subiria kuona damu ya mtu inamwagwa.
Ni upuuzi kwako. Unafikiri T.I akija bongo kupiga show labda pale maisha club unafikiri ni wangapi wataenda? Na promota atatoza kiingilio kiasi gani ili arudishe gharama na kupata faida yake?
Acheni vijana wenye vipato vidogo wapate burudani. We nenda sehemu zenye hadhi zako ndg.
Washalegea wote kuanzia sugu mpaka kulwa na doto ambao walijifanya wana roho ya ghadaf
sa hivi wasivuruge kama mwaka jana mambo ya spika kuzingua mara lights hazieleweki
wajiandae watu tunatoa hela kuburududika, sio kuzingua halafu kesho yake wanaweka fungulia mmbwa
mwaka jana vinega waliroga si unajua tena mambo ya masikini
mwaka jana vinega waliroga si unajua tena mambo ya masikini
nackia kibali cha davido kimekosekana sababu alishaombewa kibali na times.... cliffort haris nacho hati hati kupatikana....
subiri vinega waje wakupe za uso.
"Na ile kwenye zinduka mlangoni waliweka mageti na kutoza kiingilio wakati issue ina bajeti na bado hawakuwapa net na ndio maana show ilibuma na bado zitaendelea kubuma"-- Sugu
Davido ndani ya DSM
![]()
Washalegea wote kuanzia sugu mpaka kulwa na doto ambao walijifanya wana roho ya ghadaf