mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,177
- 8,304
Safi sanaa Kuna wasenge wanataka wapangie watu vyakupost hapa jukwaani..kwanza sisi wengine hatuna akiliNdio mapenzi yalivyo usipangie watu namna ya kufikiri huwanunulii bando so it's non of ur bzns vya kupost ni vingi labda nikupe headings then post Uzi wako kupitia hizo headings;
1. Kilimo Bora Cha parachichi tukuyu
2. Quantum physics.
3. Jinsi ya kuvunja vaults za BoA
4. Agro mechanics
5. Adili na Nduguze.
6. Vijiji vya ujamaa.
7. Space x
7.kilimo Cha ubuyu kongwa.
8. Wimbley stadium
9. Ngugi wa thiongo
10. Uchumi wa blue.
Tiririka na mda yoyote hapo juu maisha ya wengine achana nayo.