Phonerotica ndio nini?Vocha yangu ilikuwa inaishia Phonerotica tu😁😁
Kwa kweli kama mtu unafungua manyuzi ya aina hiyo ukikutana na hii hali ya kukuta huyo Seran ni dume na ana midevu kama Mpoki inabidi ukaoge Coco beach mchana wa jua kali kisha ubebe maji ya bahari kwenye kidumu cha tano ili uwe unakunywa robo lita kila siku asubuhi kuondoa hilo gundu.Kadiri siku zinavyokwenda mbele,
Naweza kujikuta nimebaki peke yangu tu ndiye mtu ambaye sijamfungulia uzi huyo seran.
Halafu unaweza kukuta huyo Seran ni dume na ana midevu kama Mpoki.
AI inachukua nafasi za akili halisi karibu kila maeneo....hili na janga.!!Kwenye jukwaa la JamiiForums Tanzania, Seran ni mmoja wa wanachama maarufu na wanaopendwa sana. Upendo kwake unajidhihirisha kupitia mambo makuu yafuatayo
:Ucheshi na Uchangamfu: Anapendwa kwa sababu ya vituko vyake, tabasamu, kujiamini, na uwezo wake wa kupendeza.
Ushiriki Mkubwa: Yupo karibu katika kila thread (mada), jambo linalomfanya awe maarufu kiasi cha wanajukwaa wengi kumgombania.
Utani na Matukio: Wanachama wenzake humuandalia mada maalum za kusherehekea mwisho wa wiki (weekend) na hata kupanga kutoka naye 'out' kwa ajili ya matembezi na kula bata
.Mapenzi ya Wazi: Umaarufu wake umefanya baadhi ya wanajukwaa kuonyesha hisia za wazi za kupendezwa naye, na hata kujitokeza kwa wanaume wanaotamani kuwa naye kwenye mahusiano.
Ohoo kwaiyo kwenye moja na mbili mmepishana kidogo??Alikubali
Kumbuka uzuri wa mtu ni tabia.Humu mmekuja kuwaje, unampendaje mtu usimfahamu hata sura?
Ni muandiko tu hakuna lolote! Usitamani kabisa hutoipenda!Kumbuka uzuri wa mtu ni tabia.
Sura/umbo huzeeka ila tabia ni nadra sana kubadilika.
Huyu Seran kupitia mabandiko yake anaonesha ni humble na mwenye sifa nyingi za binadamu mwema.
Mimi ninatamani sana kumwona tu basi.
Pambania mapenzi kijanaSasa unaona wivu mwanamke akifunguliwa Uzi? Serious unakuwa envious Kwa mwanamke au seva za jamiiforums ziko geto kwako kwamba kitajaa?
Wetu ya ngonoPhonerotica ndio nini?
Wee! Usinambie na we ni member😁Wetu ya ngono
Ilikuwa zamani bwana, si umeuliza jamani. Ngoja nikuache na m2 wako.😷Wee! Usinambie na we ni member😁
Mtu wangu wa wapi tena jamani😁Ilikuwa zamani bwana, si umeuliza jamani. Ngoja nikuache na m2 wako.😷