Sawa nakusikiliza🥰Utaacha tu taratibu uzuri unaniskilizaga nikikwambia kitu.
Sawa babampotezee bana huyo jamaa tufocus na mambo yetu lamama☺️
Haachwi mtu I swear 😁
Wachawi hamkosekanagi🤣
Nikuletee zawadi gani jion lamama?Sawa nakusikiliza🥰
si unajua vyenye....Sawa baba
Msitutishe na hayo mapenzi yenu,Nikuletee zawadi gani jion lamama?
Ila usichague shada pls😁
Aanh! Whyy😫Nikuletee zawadi gani jion lamama?
Ila usichague shada pls😁
Mshenga niko hapa sifa zote ninazo, nasubiri unipe mchongo. Upande wa mahari usihofu mi bingwa wa bargainingSeran ujue nakuzimia mke !
Hivohivo 🤣Msitutishe na hayo mapenzi yenu,
Kwanza wala hamuendani.
😀
Acha wivu mkuu 😂
Ooooh no ntakuletea karanga tu na juice ,,Aanh! Whyy😫
Haya niletee boost bites!
Sawa ila usije kusema hukuambiwa wala hatutaki uzi wa malalamiko humu,Acha wivu mkuu 😂
no magic can break this Love..labda kifo..
hahaha 😂Msitutishe na hayo mapenzi yenu,
Kwanza wala hamuendani.
😀
Ni kama hizi bites tu bwana mbona nzuri!Ooooh no ntakuletea karanga tu na juice ,,
Tatizo jamaa yako hapo ana mia mbili tu mfukoni.Ni kama hizi bites tu bwana mbona nzuri!