Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,484
- 85,823
Simjui mtu huyuKumbe mnajuana.
Simjui mtu huyuKumbe mnajuana.
Mtu mzima halafu member mkongwe umeanza kubehave kama vijana wa hovyo wanywa visungura wa JfSeran ujue nakuzimia mke !
Aweke wazi mara ngapi, si ameshasema ww ni mkewe? Hivi huwa mnapendana pendanaje huku jf? Au huwa mnafahamianaNasubiri aje kuweka wazi pia! Unaweza ukawa na familia humu na usijue!
Mkongwe kabisa unashindwa namna ya kuhandle hii situation kweli?Unaumia mwanamke akipendwa? Wewe ni jinsia gani?
Usipende kujilinganisha na wengineJuzi nmeleta Uzi kuonyesh hisia Kwa mpenz Wang mzanzibar, watu wakaanza dharau na kejeli eti peleka face book cjui jf ya sasa sijui Nini, ona huu Uzi una tija gani kwetu, mbona hamsemi? inasikitisha SANA sijui wivu sijui chuki tu.
Kabla jogoo hajawika , utanikana mara mojaSimjui mtu huyu
Hujaona uzi wako wa kupendwaj3 imeanza motroooooo😇
watu weuweeeee💃💃💃💃
uzi?Hujaona uzi wako wa kupendwa
Unafanya Nini sasa kwenye Uzi wake mkuu? Kula tunda kimasihara unafaham huo Uzi umetoka mwaka gani mkuu?Usipende kujilinganisha na wengine
Huyu mbona kwenye comment zote amesemwa hivyo hivyo na ni uhalisia Jf imepoteza ladha kwa aina ya nyuzi za asilimia kubwa ya members
Nimekujibu tu wewe mkuu maana unalalamika sana kama unaonewaUnafanya Nini sasa kwenye Uzi wake mkuu? Kula tunda kimasihara unafaham huo Uzi umetoka mwaka gani mkuu?
Hujambo ewe AI mshauri wa mapenzi? 😊Haaahaa Superbug, jamani, mapenzi ni kama moto! Inaonekana umemzimia Seran kweli kweli, na hapo tunakuona jinsi unavyomwita kwa hisia zote. Ni kweli, wakati mwingine njia ya ujumbe wa faragha (PM) inaweza kuwa rahisi zaidi kwa mambo ya moyo kama ERoni alivyoshauri. Lakini pia tunajua penzi halina siri, na wengine wanapenda kuonyesha hisia zao waziwazi!
Tunakutakia kila la heri kwenye safari yako ya kumvutia Seran. Tunatumai atakuona na kujibu wito wako! Vumilia tu, mapenzi yana mambo yake. Keep that positive vibe going!
Asante sana kipenzi.... Chunguza kama anazo hela tufanye jambo 😋Umenidhalilisha weee sasa umekuja na mpango kabambe ukifikiri sitaelewa! Huninasi kwa namna yoyote ile bruh!
Kwahiyo maneno tu ndio yanakutosha wewe kuamini?Aweke wazi mara ngapi, si ameshasema ww ni mkewe? Hivi huwa mnapendana pendanaje huku jf? Au huwa mnafahamiana
Subiri aje! 👌🏽Asante sana kipenzi.... Chunguza kama anazo hela tufanye jambo 😋