Afisa_Nkai
JF-Expert Member
- Jul 5, 2025
- 494
- 1,046
Aibu utaona wewe 😂
KMMKAibu utaona wewe
You nailed it...!Kwenye jukwaa la JamiiForums Tanzania, Seran ni mmoja wa wanachama maarufu na wanaopendwa sana. Upendo kwake unajidhihirisha kupitia mambo makuu yafuatayo
:Ucheshi na Uchangamfu: Anapendwa kwa sababu ya vituko vyake, tabasamu, kujiamini, na uwezo wake wa kupendeza.
Ushiriki Mkubwa: Yupo karibu katika kila thread (mada), jambo linalomfanya awe maarufu kiasi cha wanajukwaa wengi kumgombania.
Utani na Matukio: Wanachama wenzake humuandalia mada maalum za kusherehekea mwisho wa wiki (weekend) na hata kupanga kutoka naye 'out' kwa ajili ya matembezi na kula bata
.Mapenzi ya Wazi: Umaarufu wake umefanya baadhi ya wanajukwaa kuonyesha hisia za wazi za kupendezwa naye, na hata kujitokeza kwa wanaume wanaotamani kuwa naye kwenye mahusiano.
Cha mtu huliwa na mtu, kutu yake bati.Kumbe Seran ni mke wa mtu? Basi tuache kumuimbisha mashairi/kumpa mistari
Sasa unaona wivu mwanamke akifunguliwa Uzi? Serious unakuwa envious Kwa mwanamke au seva za jamiiforums ziko geto kwako kwamba kitajaa?Nimekujibu tu wewe mkuu maana unalalamika sana kama unaonewa
Tofautisha kula kimasikhara na aina hii ya nyuzi maana huu Uzi wa ishirini anafunguliwa mtu mmoja na pia ni vitu vinavyoweza kuongelewa pm huko
Vocha yangu ilikuwa inaishia Phonerotica tu😁😁Simu za bei rahisi na vocha za bei rahisi zimetuleta hapa.
Ingekua wayback vocha ya jero uibalansi kuingia online waptrick, phonerotica au dinahicious blog hapo hapo uibalansi kuwapigia wazazi wako huko Getagujo na kupigia marafiki huu upimbi ungebaki kichwani.
Mkuu visungura(Vinjwanjwa) vilikukosea nini?!Mtu mzima halafu member mkongwe umeanza kubehave kama vijana wa hovyo wanywa visungura wa Jf
Should I call you mista? SeranHuninasi kwa namna yoyote ile bruh
Ndio hatujuaniUnaweza kuthibitisha kwamba hatujuani?
Najua unachokitafuta! Niko makini kuliko kawaida!Nikawaida mwanamke kuona aibu pindi unapo mu-wooing.....! Ila fahamu wewe ni mke !