Senegal wametukumbusha umuhimu wa haki dhidi ya amani.

Twin Tower

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
4,907
Reaction score
7,123
Siku zote haki imekuwa ikitajwa kuwa inatafutwa, inapiganiwa. Huwezi kuletewa kwenye sahani.

Kitendo cha kupinga dhulma, hatimae kikaleta maridhiano. Na mechi ikaendelea.

Wameacha funzo kubwa hasa katika medani za siasa, maalum kwa Tanzania ambao tunapiga kelele za amani bila kujali haki.

Senegal wangeamua kuchagua amani, haki yao ingetoweka na kukosa nafasi ya kuwa mabingwa.

Lakini tuwapongeze Morocco na Caf, kwa upekee kabisa Ibrahim Diaz kwa kutekeleza maridhiano kwa vitendo.

Kuchagua haki na kufanya diplomasia ya kuupa mpira heshima yake.

Dhulma hata wao kama Morocco, wasingeifurahia medali ya ushindi

Haki haiombwi, ukitenda haki amani hutawala.
 
Somo kwa njia yoyote linaeleweka, isipokuwa kwa majambazi tuliyo nayo Tanzania; yaliyoamua kwa dhamira ya mioyo yao kutenda maovu.

Hawa majambazi siyo kuwa hawajui maana ya HAKI ni nini, wanaijuwa, lakini kwa uamzi wao wa kutaka kubaki madarakani kwa nguvu, wameamua kwa maksudi kabisa kutotenda haki.

Hali kadhalika, hawa waovu wanajuwa maana ya AMANI ni kitu gani; na uwepo wa AMANI ni hali ya namna gani.
Wameamua, kwa maksudi, kama walivyoamua kwa maksudi kumpitisha mgombea wao ndani ya chama kwa mizengwe, ni hali hiyo hiyo wameamua kutumia AMANI kwa kutumia tafsiri wanayotaka wao.

Ni katika hali hiyo hiyo, wamewatangazia waTanzania kuwa kuna Tume HURU ya uchaguzi, ambayo imesimamia uchaguzi wa HAKI Oktoba 29, na mgombea wao akajizolea kura milioni 31, sawa na asili mia 97.8 ya waTanzania waliojitokeza kupiga kura siku hiyo.

Hivyo ndivyo walivyopanga wao; kama walivyopanga AMANI ya kulazimishwa kwa mitutu ya bunduki, ndiyo iwe AMANI, ambayo ndiyo italeta HAKI.

Utaanzaje kujadili chochote na watu wa aina hii mkafikia maelewano?
 
Mkuu CCM wanajua hilo ila ulevi wa madaraka unawafanya wapoteze uwezo wa kufikiri. Halafu wanadharau watanzania kawaida kweli kweli wakidhani hawana akili. BTW kilichotokea kwenye hiyo fainali kinaonyesha ni kwa nini Afrika iko nyuma. Mpira tangu mwanzo ni ulalamishi kila dakika, refa anashindwa kusimamia wachezaji, kila mtu ni kijogoo, wachezaji nao wanafanya ghilba ku win foul.... kusema kweli ni aibu kubwa kwa Afrika.
 
Siku zote haki imekuwa ikitajwa kuwa inatafutwa, inapiganiwa. Huwezi kuletewa kwenye sahani.

Kitendo cha kupinga dhulma, hatimae kikaleta maridhiano. Na mechi ikaendelea.

Wameacha funzo kubwa hasa katika medani za siasa, maalum kwa Tanzania ambao tunapiga kelele za amani bila kujali haki.

Senegal wangeamua kuchagua amani, haki yao ingetoweka na kukosa nafasi ya kuwa mabingwa.

Lakini tuwapongeze Morocco na Caf, kwa upekee kabisa Ibrahim Diaz kwa kutekeleza maridhiano kwa vitendo.

Kuchagua haki na kufanya diplomasia ya kuupa mpira heshima yake.

Dhulma hata wao kama Morocco, wasingeifurahia medali ya ushindi

Haki haiombwi, ukitenda haki amani hutawala.
Sijakuoaya, Senegal wamefanyaje

Les Lions de la Teranga. The Lions of Teranga. Simba wa Teranga. SENEGAL kama CHADEMA. NO REFORMS, NO ELECTION. SENEGAL wametufundisha kwamba HAKI haiombwi. HAKI inapiganiwa
By Martin Maranja Masese
 
Mbona walichagua Amani haki baadae
Kule kwenye chama chetu tumechagua amani kwanza.

Tukampitisha mgombea wetu kimizengwe....amani ikasisitizwe aungwe mkono.

Wagombea ubunge wakakatwa...wakaambiwa muhimu amani haki itakuja, pengine kupata teuzi lkn wameliwa vichwa.

SIsi hao watu wa amani.
 
file_0000000055ec71fd87ea5b2484893222.png
 
"Siasa ni vita isiyohotaji kumwaga damu"...hii nadhani ni tafsiri bora kabisa ya siasa!
 
Mkuu CCM wanajua hilo ila ulevi wa madaraka unawafanya wapoteze uwezo wa kufikiri. Halafu wanadharau watanzania kawaida kweli kweli wakidhani hawana akili. BTW kilichotokea kwenye hiyo fainali kinaonyesha ni kwa nini Afrika iko nyuma. Mpira tangu mwanzo ni ulalamishi kila dakika, refa anashindwa kusimamia wachezaji, kila mtu ni kijogoo, wachezaji nao wanafanya ghilba ku win foul.... kusema kweli ni aibu kubwa kwa Afrika.
Hayo hayo uliyoyaona kwenye mpira ndiyo yameletwa hadi kwenye siasa na uongozi wa nchi.

Tofauti pekee iliyopo ni kuwa huku kwenye siasa waovu ndio wameshikilia mitutu ya bunduki kuhakikisha timu pinzani haipati ushindi, kwa kuwa hawana silaha.

Timu ya Morocco ingekuwa na silaha, wangelazimisha kuwa washindi, kama alivyofanya Samia,

Haya mambo ni rahisi tu kuyaelewa.
Linalohitajika sasa, ni kujuwa namna ya kuzuia hiyo mitutu ya bunduki.
Tukiweza kuwa na njia ya kuizima hii mitutu ya bunduki, hatutakuwa tena na matatizo na hawa mashetani.
 
Back
Top Bottom