Inasadikika unamiliki iPadInasadikika siku ya kwanza kabisa mtu mweupe(mzungu) alipokutana na mtu mweusi(mwafrika) ,wote wawili walitoka nduki kila mmoja na uelekeo wake.
Sent from my iPad using JamiiForums
Inasadikika hafahamiki uyo mtuInasadikika, wapemba hawana kile alichonancho Thiery Henry!
😀😀😀😀😀😀😀😀Inasadikika kwamba wazaramo wakimkamata mwizi hawampigi wala kumpeleka polisi bali wanamsema mpaka anakufa.
Inasadikika we ndiye Tajiri mkubwa sana wa kusadikika kuliko Wafrika wote wa kusadikika.Inasadikika kuwa mimi ndiye tajiri kuliko watu wote Afrika
Mawazo uchwara na akili uchwaraInasadikika" Mtume Mhamad baada ya kuzikwa mwili wake uliliwa na mbwa"![]()
Na inasadikika unatutafutia banInasadikika" Mtume Mhamad baada ya kuzikwa mwili wake uliliwa na mbwa"![]()
VIP mkuu mbon kmy?Post ya kusadikika
Vilevile utaitwa mkoa!Inasadikika dar es salaam ifikapo mwaka 2017 itakua na watu wachache sana
inasadikika kua akili yako ni ndogo kuliko hata ya Kiroboto,na kulelewa kwako na Shemeji yako kumekupunguzia uwezo wa kufikiri.Inasadikika" Mtume Mhamad baada ya kuzikwa mwili wake uliliwa na mbwa"![]()
Inasadikika mkuu unapenda sana kujisifiaInasadikika "me ndo HB(hand some boy? jf nzima
Inasadikika alotype hapo ni mzimu wakoInasadikika mie simo humu JF