regnaldshirima
Senior Member
- Aug 18, 2014
- 124
- 78
Inasadikika Mimi Mi Kijana
Inasadikika ulikua kijana 2005 sio sasaInasadikika Mimi Mi Kijana
Inasadikika unapungufu wa nguvu za ki... Ndo maana unajaribu kujitibu kisaikologiaInasadikika kuwa mm ndiye ninayejua zaidi kugegeda wanawake kuliko wanaume wengine.(waliobahatika kugegedwa na mimi ni mashahidi)
Asali je?Inasadikika vitu vitamu vyote huanza na herufi "K"
Inasadikika Rose mhando alidanganya hapo!! Woga wako ndio kupona yakoInasadikika uwoga wako ndio umaskini wako
Inasadikika unaongopainasadikika wana jf wengi wanaichukia clouds bure
Inasadikika una kipimo cha kupimia ukweli na uongo hapo kwako.Inasadikika unaongopa
siyo inasemekana!! ni inasadikika,,,inasemekana egypt n chanzo cha ustaarabu
Inasadikiwa wewe ndio Jobless ndio maana unafikiri kua watu wote ni sawa na wewe.Inasadikiwa wachangiaji wengi humu nii jobless
Kweli inasadikikakuna chai inasema Dr Liki Abdala alikuwa anamla muhindi kwenye kubeti
muhindi akasema isiwe taabu,akamuajiri ofisi ya betting
Inasadikika hata ww piaInasadikiwa wachangiaji wengi humu nii jobless
Inasadikika sio rasmi..!Asali je?
Inasadikika chadema ni sacosInasadikika kuwa kule Zanzibar CCM haijawahi kushinda nafasi ya Urais tangu mfumo wa vyama vingi uanze.
Inasadikika hesabu ziligunduliwa afrika
inasadikika kuwa mungu hayupo na wala hakuwahi kutokeaInasadikika kuwa Mungu husema na watu kupitia ndoto