Sema chochote ''Kinachosadikika''

Sema chochote ''Kinachosadikika''

Inasadikika kuwa watu wa Mombasa wanapenda nyuma kiasi kuwa hata wakiingia church wanakaa nyuma na kwenye matatu wanataka nyuma tu, hata darasani utawakuta nyuma na kwenye matokeo class wanakuwa wa mwisho.
 
Inasadikika kuwa nguluwe alipewa korodani zake baada ya kukimbia, mungu alipo kuwa akimuumba huyo nguluwe
 
Inasadikiwa Tanzania ni nchi yenye majeshi yenye nguvu duniani kushinda NATO na pia inasadikiwa Tanzania ni nchi tajiri duniani
 
Back
Top Bottom