Sema chochote ''Kinachosadikika''

Sema chochote ''Kinachosadikika''

Ndege ya kwanza ilitengenezwa na mwafrika wazungu wakaona wivu wakamchukua kwenda ulaya akawaelekeza alivyotengeneza halafu wakamuua
 
inasemekana magufuli atajiunga chadema 2020 kama lowassa alivofanya
 
Inasemekana waafrika tunaongoza kwa midomo wakati wazungu wanaongoza kwa vitendo"
 
inasemekana magufuli atajiunga chadema 2020 kama lowassa alivofanya
Inasadikika kua wewe hukumuelewa mtoa mada kua anataka tutumie neno "inasadikika" ila wewe ukatumia neno "inasemekana"
so,inasadikika kua kama ni mtihani wewe utakua umeshafeli..!!
 
inasadikika kua wewe ndo huyo mtoa mada ila umejisahau tu ukatumia id hii ukanipa hiyo correction bila kutegemea
 
Inasadikika kua wewe unapenda kusadiki vitu vya kusadikika,mimi ni mimi na mtoa mada ni mtoa mada,ni member tofauti tena wasiojuana.
 
Back
Top Bottom