Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,988
- 9,213
Inasadikika kua wewe utakua ni Mwanafunzi tu.
hapana, inasadikika unasoma kila comment
Inasadikika kua wewe utakua ni Mwanafunzi tu.
Inasadikika ulikuwa unafanya hvyoooinasadikika ukiweka kijiti kichwani km umefanya kosa huchapwi
Inasadikika kuwa kule Zanzibar CCM haijawahi kushinda nafasi ya Urais tangu mfumo wa vyama vingi uanze.





Inasadikika SIMBA ana hirizi!
Ha ha haa kweli inasadikikaINASADIKIKA KUA WANAUMEWA DAR NI CHIPS YAI TU