The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,123
- 102,715
INASADIKIKA TANZANIA NI NCHI PEKEE INATOA MADINI YANAITWA TANZANITE LAKINI CHA AJABU YANAJULIKANA YANATOKEA KENYA NA SOUTH AFRICA..Hapa sema chochote kile ambacho kimekua kikisadikika hakuna Taarifa rasmi,au research wala uthibitisho kama hivi
"Inasadikika Wazungu wengi waliliwa nyama walipofika kufanya upelelezi Afrika kwa Mara ya kwanza"
"Inasadikika China ni sehemu ya kwanza kabisa kuendelea na kustarabika duniani"
"Inasadikika Waafrika na Waarabu ndizo race zenye uwezo mdogo wa kufikiri na kupambanua mambo"
Endelea
Inasadikika hiki kicheko ninachokucheka ni bandia !!ha ha ha hanamkataa shetani na mambo yake yote na fahari zake zote, hii ni kweli sio kusadikika
Inasadikika tena hao viumbe wapo wenye akili na teknologia ya juu kuliko hata binadam ( aliens)Inasadikika kuna viumbe hai nje ya dunia hii