Sema chochote ''Kinachosadikika''

jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,247
1,637
Hapa sema chochote kile ambacho kimekua kikisadikika hakuna Taarifa rasmi,au research wala uthibitisho kama hivi
"Inasadikika Wazungu wengi waliliwa nyama walipofika kufanya upelelezi Afrika kwa Mara ya kwanza"

"Inasadikika China ni sehemu ya kwanza kabisa kuendelea na kustarabika duniani"

"Inasadikika Waafrika na Waarabu ndizo race zenye uwezo mdogo wa kufikiri na kupambanua mambo"
Endelea
 
Inasadikika Kuwa Vitu Vingi Vinavyosadikika ukweli ni Uongo na vinavyosadikika vya uongo ni vya Ukweli
 
Back
Top Bottom