Selfika na JF: Snap it. Show it

Usiombee upate mgeni kutoka huko!
Unamtengea wali hata hotpot nzima anamaliza hlf baada ya nusu saa anakuuliza 'leo hatukuli' ukimwambia si wali tayari anajibu 'Siwezi kulala na njaa'

Watu wa kule ugali ndo wanaona chakula vyakula vingine ni kama starters
Hahahahaha..eti awe kabila la Kasai ..wali chakula cha ndege , unaanza wali then ndio unakuja Bukari ( ugali ) na sombe ( kisamvu ) au kabambale ( kambale )
 
Vijana jibuni DM mnapishana na magari ya mshahara...
Screenshot_20240326-224422_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom