raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,814
- 36,763
Hahahhaaaaaaaaaa nimekupata kijanaKembamba kananyumbulika😋
Hahahhaaaaaaaaaa nimekupata kijanaKembamba kananyumbulika😋
Kembamba kananyumbulika[emoji39]
Tunaheshimu uumbaji wa mungu
Acha kumchokoza Fally wetuNdiyo
Aache michezo 🤣Acha kumchokoza Fally wetu
Hamna njia nyingine anza tizi😂Nipe dawa ya kukata kitambi. Limao limekataa
😂 tizi mateso bhanaaHamna njia nyingine anza tizi😂
Substitute vyakula vyenye calories nyingi na vyenye kidogo
Unaanza kidogo kidogo unaogopa nini unataka kuwa big mama?😂😂 tizi mateso bhanaa
Weka hapa sasa😁🤣😂Ndiyo
Michezo ipi depoo🤣😁😁Aache michezo 🤣
Nipe dawa ya kukata kitambi. Limao limekataa
Kunywa maji mengi anza kwenda gym 🤣😁😂 tizi mateso bhanaa
Njoo uone 📸Unaanza kidogo kidogo unaogopa nini unataka kuwa big mama?😂
Ngoja nimuite naniiiliuWeka hapa sasa😁🤣😂
Nani huyo ? MtajeNgoja nimuite naniiiliu
Kukunulia inaruhusiwa?Forever and always [emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji169][emoji123]
Alooooooohh jezi imekutoa balrrraaaaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Hivi jezi shingapi?? Nataka ninunue nyeusi!
Nougaaa sana mwananchi [emoji172][emoji172][emoji169][emoji123][emoji123]!
Hakika Jioni yangu inaenda kuwa bareeeeeda kabesaaa! Wabheja sana
Barikiwa sana mkuu .Sema nimeshalipa kwenye duka la Kijiji hapa nasubiria kuletewa tu💚💛💛🖤💪!Kukunulia inaruhusiwa?