Winnone
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,521
- 4,145
Acha kumchokoza Fally wetuNdiyo
Aache michezo 🤣Acha kumchokoza Fally wetu
Hamna njia nyingine anza tizi😂Nipe dawa ya kukata kitambi. Limao limekataa
😂 tizi mateso bhanaaHamna njia nyingine anza tizi😂
Substitute vyakula vyenye calories nyingi na vyenye kidogo
Unaanza kidogo kidogo unaogopa nini unataka kuwa big mama?😂😂 tizi mateso bhanaa
Weka hapa sasa😁🤣😂Ndiyo
Michezo ipi depoo🤣😁😁Aache michezo 🤣
Nipe dawa ya kukata kitambi. Limao limekataa
Kunywa maji mengi anza kwenda gym 🤣😁😂 tizi mateso bhanaa
Njoo uone 📸Unaanza kidogo kidogo unaogopa nini unataka kuwa big mama?😂
Ngoja nimuite naniiiliuWeka hapa sasa😁🤣😂
Nani huyo ? MtajeNgoja nimuite naniiiliu
Kukunulia inaruhusiwa?Forever and always
Alooooooohh jezi imekutoa balrrraaaaaa
Hivi jezi shingapi?? Nataka ninunue nyeusi!
Nougaaa sana mwananchi!
Hakika Jioni yangu inaenda kuwa bareeeeeda kabesaaa! Wabheja sana
Barikiwa sana mkuu .Sema nimeshalipa kwenye duka la Kijiji hapa nasubiria kuletewa tu💚💛💛🖤💪!Kukunulia inaruhusiwa?
MUST pazuri wewe😅 googleDogo unacheka nn?
Unadhani ni MUST hapa! 😀