Selfika na JF: Snap it. Show it

Kabisa chombo haina matata hii
Niliwahi kuwa nayo mpya kabisa zile za mwanzo mwanzo. Nilikaa nayo kwa miaka karibia 15 kitu imekula 300K+ miles na bado tu inadai. Mpaka nilichokana nayo tu nikawauzia jamaa wa mashambani huko wakaikata ikawa pick up ya kubebea mazao. Na bado ikaendelea kupiga mzigo tu. Ni moja kati ya ndinga ninazoziheshimu sana
 
Ooh usiogope mwamini Mungu , wewe kama mama una nafasi kubwa sana kwao ..
Kikubwa ni kuwapa mafundisho mema , kuongea nao kwa ukaribu , mfanye awe rafiki katika hatua hizi za ukuaji .
Naogopa Mimi hua naongea nao friendly bado hajawa mkubwa ila siku akiwa mkubwa naona ntalia Mimi I swear maana anaingia12 but ana mwili mkubwa na dalili za kiutu uzima zimeanza.
Yaani naomba Mungu anipe ujasiri Mimi ni bingwa wa ushauri nasaha kwa watoto wa madada zangu ,Dada plus friends ila kwangu mwenyewe sijui itakuaje
 
Back
Top Bottom