Selfika na JF: Snap it. Show it

Saint Anne Heaven Sent Khantwe
Screenshot_20220122_161842.jpg
 
Jaribuni muone
😀😀😀.. Eeeeeeeh! Haya umesema thuuu mwenyeweee. Kiwango cha juu cha maombi ni pale utapokuwa unawaza kitu na inakuwaa.. ni pale unapo panga kwenda chumba cha maombi unapokea majibu yote before hujakaa kwa kiti.. Pale unapo waza jambo na linakuwa.. sasa acha nichague mawazo juu yako yaliyo mema tuuuuu 😂😂😂😂 tushindane kuwaziana memaaa
 
Nikikaa kwenye standard ambayo naiishi au kuishi ambavyo naishi nje ya chart.. Basi tunajichanganya kwenye majira haya tu.. but soon majira haya yanaisha.. mdogo wangu Saint Anne atakupa salamu zangu.. na ndioa maana pia nimejifunga kujuana na mtu mwingine yoyote maana ukinikuta physical na robot linachort hapa 😂😂😂😂😂 watu tofauti.. mie ni mkali sana physical mkimya sana, mkali sana kwenye standard za Mungu ambazo nipo guided kuziishi ila pia najifunza na maisha mengine ili ku balance that why sisomeki langi kwa kipindi hiki tu 😂😂
Nasubiri aniulize ili nitiririke salamu zako🤗
 
Nope; relax Mtumishi, was just kidding. Ni vyema kujichanganya honestly; and kuwa real possibly. Mimi mwenyewe ukinikuta kule celebrities napiga umbea hata mswaki sipigi.

Basi, nimi nitakuona tu kwa hakika pasipo wewe kutegemea. Utasikia tu mmama anakuita "paa wewe mwenye upaa". On a serious note; to each his own.
Nikikaa kwenye standard ambayo naiishi au kuishi ambavyo naishi nje ya chart.. Basi tunajichanganya kwenye majira haya tu.. but soon majira haya yanaisha.. mdogo wangu Saint Anne atakupa salamu zangu.. na ndioa maana pia nimejifunga kujuana na mtu mwingine yoyote maana ukinikuta physical na robot linachort hapa watu tofauti.. mie ni mkali sana physical mkimya sana, mkali sana kwenye standard za Mungu ambazo nipo guided kuziishi ila pia najifunza na maisha mengine ili ku balance that why sisomeki langi kwa kipindi hiki tu
 
Nawasubiri
.. Eeeeeeeh! Haya umesema thuuu mwenyeweee. Kiwango cha juu cha maombi ni pale utapokuwa unawaza kitu na inakuwaa.. ni pale unapo panga kwenda chumba cha maombi unapokea majibu yote before hujakaa kwa kiti.. Pale unapo waza jambo na linakuwa.. sasa acha nichague mawazo juu yako yaliyo mema tuuuuu tushindane kuwaziana memaaa
 
Back
Top Bottom