Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jamani si nimesema ni "casual sunday", that was meant for tomorrow. Ni vile nimeiandaa mapema leo as nitachelewa kurudi leo; so kesho nikiamka tu natupia huyo church, then baadaye ndicho picha.

Haya ubatilishe maneno yako ya laana na unibariki
😀😀 Nafuta kila neno ambalo lipo kinyume na mapenzi ya Mungu juu ya maisha yako, kila kunenewa kubaya tunakufuta kila neno baya tunalifuta. Ukakubarike na ikawe kweli na aminia juu ya kila jambo kako. Ubarikiwe Ardhini, ubarikiwe Baharini, Ubarikiwe mbinguni, ubarikiwe, kaskazini, kusini, mashariki na magharibi kila neno lisilo na nuru wa uhai tunalifuta, kila kinywa kilicho beba laana, kushindwa na giza zidi yako tunakifunga.. Gold ni sehemu yako 😁😁😁

Kesho nitumie ka selfie basi 😎
 
AMEN AMEN AMEN

(Bado nimenuna)
Nafuta kila neno ambalo lipo kinyume na mapenzi ya Mungu juu ya maisha yako, kila kunenewa kubaya tunakufuta kila neno baya tunalifuta. Ukakubarike na ikawe kweli na aminia juu ya kila jambo kako. Ubarikiwe Ardhini, ubarikiwe Baharini, Ubarikiwe mbinguni, ubarikiwe, kaskazini, kusini, mashariki na magharibi kila neno lisilo na nuru wa uhai tunalifuta, kila kinywa kilicho beba laana, kushindwa na giza zidi yako tunakifunga.. Gold ni sehemu yako

Kesho nitumie ka selfie basi
 
Heaven Sent Saint Anne
Screenshot_20220122_161121.jpg
 
Back
Top Bottom