Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dar hamna laana,Laana Iko Dodoma,..Isanga gereza la kunyonga watu,Milembe hospital ya vichaa,Ukame....Dar changamoto ndogondogo tu wajameni😁
Dom kuzuri
Kwanza hakunaga mvua kubwa sana
Sikujua kumbe Dom kuna gereza la kunyongea watu💔

Kweli Dsm watu wake walishazoea mateso
Tunaolialia ni sisi wa mikoani😂
 
Dar hamna laana,Laana Iko Dodoma,..Isanga gereza la kunyonga watu,Milembe hospital ya vichaa,Ukame....Dar changamoto ndogondogo tu wajameni😁
Huku Milembe nimepita juzi tu
Lile eneo ni kiboko,hata daladala halinaga.
 
Screenshot_20240426_160048_Instagram.jpg
 
Dom kuzuri
Kwanza hakunaga mvua kubwa sana
Sikujua kumbe Dom kuna gereza la kunyongea watu💔

Kweli Dsm watu wake walishazoea mateso
Tunaolialia ni sisi wa mikoani😂
Yaani nikiisafiri nikijikuta Nkuhungu napata mawazo hivi nikisikia Dar imeungua ghafla nitarudi wapi mimii🙆🙆🙆basi naingia kwenye maombi kuniombea Dar yangu😁
 
Yaani nilisafiri nikijikuta Nkuhungu napata mawazo hivi nikisikia Dar imeungua ghafla nitarudi wapi mimii🙆🙆🙆basi naingia kwenye maombi Dar yangu😁
Sema Dar ni kama ina sumaku aisee
Kutoka Dar kwenda kuishi maporini ni balaa
Nilivyokuwa bush nilimiss sana Dar,pamoja na shida zote tunazopitia ila hatukomi kuja.

Shallom DSM.
 
Back
Top Bottom