Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
๐๐๐๐Eeh! Wakati mwingine anatuuzunisha kidogo then hutupa furahaa ya milele ๐๐
๐๐๐๐Eeh! Wakati mwingine anatuuzunisha kidogo then hutupa furahaa ya milele ๐๐
So Beautifoo....๐๐๐!Uwiiiiii kiatu jamani kiatu..kimenikosha mnoo.ninauhakika nikikipata hicho na hiki kigauni cha hivi nitapendeza sana
View attachment 2091404
Soup bagiaView attachment 2091343View attachment 2091344
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
hahahahaHapana Mimi sijafunga mbona mtu chake pm me tuone,,, hata sijui kwanini wanazifunga
Uhuru umepatikanahahahaha
guu la bia ndani mchuchumio
Naona umeingia mitini mama pastor, haya tusilaumiane.. utapo anza kudanganywaaa kila mchongo unaofanya.. unapanga uongo utavuna uongoo.. nimemaliza mie acha nilale,
![]()
Jamani si nimesema ni "casual sunday", that was meant for tomorrow. Ni vile nimeiandaa mapema leo as nitachelewa kurudi leo; so kesho nikiamka tu natupia huyo church, then baadaye ndicho picha.Naisubiri tu hapa.. kama udanganya.. na wewe utaanza kudanganywaa
![]()


Ndiy
Ndiyo.
Hilo neno linatumika kwa lugha zote 3,kinyiha ,kinyaki na kindali .
Ejoooo![]()
๐๐๐๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃJamani si nimesema ni "casual sunday", that was meant for tomorrow. Ni vile nimeiandaa mapema leo as nitachelewa kurudi leo; so kesho nikiamka tu natupia huyo church, then baadaye ndicho picha.
Haya ubatilishe maneno yako ya laana na unibariki![]()
Naleta unichajieChaji simu!![]()

Zote ni rangi nzuri.binafsi napenda rangi nyeusiSio weupe flani hivin๐๐๐ukiwa nae ndani huwashi taaa unamuona tu yuleer
Mama mchungaji bhana..๐๐Kila siku nasema HS pumzisha haka kamlonjo na heels, kauzee kameanza taratibu utaumwa miguu. Mweeh nikiona tu mtu kavaa heels, namuona kayapatia maisha kuliko mimi; naenda na mimi kujikongoja![]()
Sanaaaa๐๐So Beautifoo....๐๐๐!