Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nope; relax Mtumishi, was just kidding. Ni vyema kujichanganya honestly; and kuwa real possibly. Mimi mwenyewe ukinikuta kule celbrities napiga umbea hata mswaki sipigi.

Basi, nimi nitakuona tu kwa hakika pasipo wewe kutegemea. Utasikia tu mmama anakuita "paa wewe mwenye upaa". On a serious note; to each his own.
Huwa kuna majira tu, ambayo inakuwa inaruhusiwa hasa kwa sie wakaa alone ( watu wapweke) zaidi kwa asilimi 90 ya maisha yetu 😀😀😀.. na yatafika majira flani haitoruhusiwa inakuwa kazi kazi unaenda kukaa jangwani huko 😂😂
 
Nope; relax Mtumishi, was just kidding. Ni vyema kujichanganya honestly; and kuwa real possibly. Mimi mwenyewe ukinikuta kule celebrities napiga umbea hata mswaki sipigi.

Basi, nimi nitakuona tu kwa hakika pasipo wewe kutegemea. Utasikia tu mmama anakuita "paa wewe mwenye upaa". On a serious note; to each his own.
Kwamba una upako

Wa kufahamu ndiye

Ama sijaelewa..
 
Nikitazama man who na west Hamu
JPEG_20220122_180901_321699934594802963.jpg
 
Back
Top Bottom