Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,213
- 1,077,438
Cold rainy Sunday while watching sports...Goes well with barbecued ribs and red wine...
Hahahaaa..hadi wewe!!😳😳😜😜Hizi nimeziwahi wala msisumbuke!
Thanks mkuu
Mtandao gani hizoo??Hizi nimeziwahi wala msisumbuke!
Thanks mkuu
Aisee! Jamani...!!!
Hongera kwa kuziwahi mkuuHizi nimeziwahi wala msisumbuke!
Thanks mkuu
Rafiki siku Nikiwatembelea sili nyama ya ngombe na mbuzi! Note thatCold rainy Sunday while watching sports...Goes well with barbecued ribs and red wine...
View attachment 2084405
acha basiAisee! Jamani...!!!
Hongera kwa kuziwahi mkuu
Basi leo siku ni bahati tele kwako
Dah...huu udhaifu wangu sitaki uishe..aisee!
Utakula cho chote unachotaka. Tena kutembelewa na Boss Lady dah! Can't imagine...Rafiki siku Nikiwatembelea sili nyama ya ngombe na mbuzi! Note that
Mkuu hutaki mimi kuona vitu vizuri?acha basi
Natania tu mkuu...Hongera kwa kuziwahi mkuu
Basi leo siku ni bahati tele kwako
Eeh ujue kabisa dokta nikila hizo navimba mwili mzima afu nawashwa mpaka natia huruma..Utakula cho chote unachotaka. Tena kutembelewa na Boss Lady dah! Can't imagine...
Hizo ni tigoMtandao gani hizoo???? Riziki mafungu saba leo zamu yake! ✌️
Unatumia mtandao gani niwe nakutumia rafikiMtandao gani hizoo???? Riziki mafungu saba leo zamu yake! ✌️
Safiri salama soulimetiNaenda Mbeya katoto ila kama hatujafika saa 10 usiku sijui
Voda rafiki..Unatumia mtandao gani niwe nakutumia rafiki
Hizo ni tigo
Uko na wakufunzi wako humu!Hahaaa daah umenikumbusha 'range'. Tulikuwa tunaambiwa kuruta mnalenga mijusi tu.
Nimemiss life la 'jakata'. Napenda sana kwata/gwaride na kwenye gradu ya jakata nilichagua hicho kitengo.View attachment 2082724View attachment 2082726
Unakulaga nini. Seafood? Mboga na matunda tu au nini?Eeh ujue kabisa dokta nikila hizo navimba mwili mzima afu nawashwa mpaka natia huruma..