Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,378
Kitimoto ooh!Sasa mbona kitimoto nikila haiwi hivo dokta??? Yeah seafood mbogamboga na matunda kwa wingi
Utachagua unachotaka Boss Lady. It will be my privilege to serve you
Kitimoto ooh!Sasa mbona kitimoto nikila haiwi hivo dokta??? Yeah seafood mbogamboga na matunda kwa wingi
Salamu zimefika..Dada amesema nikufikishie tena ahsante zake za dhati. Ubarikiwe sana
Nitakuja kuwasalimia na aunt zangu rafiki nimeshanote lamadi!Kitimoto ooh!
Utachagua unachotaka Boss Lady. It will be my privilege to serve you
hahahaha
Namba kati hazionekani rafiki
hahahaha unachangamkia fursaNamba kati hazionekani rafiki
Hahaha....!hahahaha unachangamkia fursa
safi sanaHahaha....!
🤣🤣 Kufa hufi ..hainaga ukamanda hy rafiki, we niue tu.shauri yako
Ushindweeee !!!
cha moto nakiona,dah,haya rafiki🤣🤣 Kufa hufi ..
Nataka nimpeleke Forodhani akale masheli sheli na mishkaki ya samaki! Hupendi hiyo!?
Lol nishainyakaaa🤸🤸🤸 asante sana rafiki.. ✌️
Hahahaaacha moto nakiona,dah,haya rafiki
hahahahaLol nishainyakaaa🤸🤸🤸 asante sana rafiki.. ✌️
Bahati yako njema leoLol nishainyakaaa🤸🤸🤸 asante sana rafiki.. ✌️