Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 62,529
- 157,380
Awapi kamera tu dia!Eeeeeeeh hapo sasa
Kuna watu wamebarikiwa nyie.
Awapi kamera tu dia!Eeeeeeeh hapo sasa
Kuna watu wamebarikiwa nyie.
Aaaah usinifanyie hivyo mama malezi, nadhan next week.Unakuja lini; muda wangu wa kuwepo Moro umekwisha.
Km ina sound vilee
Mama Mchungaji. Siku ukikutana naye Nguzo Camp jaribu kumshawishi huko laivu labda atakukubalia kuselfika humu!
Nimepambania sana picha zikawekwa lakini nikachelewa kwa sekunde chache nikazikosa. Maumivu yake mpaka leo hayajapona!
Mama mchungaji Heaven Sent tazama vijana wako tunavyoteseka hebu fanya namna Nkamu...
Ila ana ujasiri mno wa kutuma kabisa vile, daaaah.Ata sielewi... akienda hospitali watampa dawa
Naona mtoko leo j2, ka enjoy sana, maisha mafupi haya.Awapi kamera tu dia!
.....
Hahahaaa.. waauweeeeehhhhhhhh 🤸🤸🤸🤸!🙃🙃🙃Naona mtoko leo j2, ka enjoy sana, maisha mafupi haya.
Yaan hadi nimemuonea huruma, ukute alipuyanga kwa mtu haeleweki afu kazoa janga lile lol.Amechanganyikiwa masikini..
TeeeenaaaaahHahahaaa.. waauweeeeehhhhhhhh !
kwa selfika hy.rafiki naomba nije ulipo unione live,tugonge cheers rafiki.we unasemaje?Kamanda Nasubiria ujue!
Itakua...kama amelizoa huko Akipona atajifunzaYaan hadi nimemuonea huruma, ukute alipuyanga kwa mtu haeleweki afu kazoa janga lile lol.
Nakusubiri kamanda! Nakuja kukupa location pmkwa selfika hy.rafiki naomba nije ulipo unione live,tugonge cheers rafiki.we unasemaje?
Ahsante mkuuSafiri salama
mm nishakufa hukuHahahaaa.. waauweeeeehhhhhhhh 🤸🤸🤸🤸!🙃🙃🙃
Hizi nimeziwahi wala msisumbuke!
hahahaha.fanya hivyo tuone rafikiNakusubiri kamanda! Nakuja kukupa location pm