Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hongera mkuu, leo hujacheza mbali
Tuendelee kumshawishi na mama mchungaji
Mama Mchungaji. Siku ukikutana naye Nguzo Camp jaribu kumshawishi huko laivu labda atakukubalia kuselfika humu!

Nimepambania sana picha zikawekwa lakini nikachelewa kwa sekunde chache nikazikosa. Maumivu yake mpaka leo hayajapona!
 
Mama mchungaji Heaven Sent tazama vijana wako tunavyoteseka hebu fanya namna Nkamu...
 
Back
Top Bottom