Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,633
- 28,635
Naskiaga tu kwenye vijiwe vya story jamaniHaha....unasikiaga wapi?
Vizuri sana kama ni kwema V
Karibu
Naskiaga tu kwenye vijiwe vya story jamaniHaha....unasikiaga wapi?
Vizuri sana kama ni kwema V
Karibu
Kuwa kuna aina mbili za mikojo?Naskiaga tu kwenye vijiwe vya story jamani
hahahahahahAlisikika mlevi mmoja mwenye cheo Cha luteni kanali
Pets loversPuppy perryView attachment 2027374
Selfika na jfView attachment 2027106
Mambo yanabadilika sana humu ndani... adi kina T 1990 ELY washa pata wachumba... Hongeren sana View attachment 2027258
Jamani jamani mapage yote haya jamani jamani!Pekua post za nyuma utaona nimetupia kama Tano hivi mrembo
Mtakatifu shahidi yangu
Hahaaa we tafuta tu utanionaJamani jamani mapage yote haya jamani jamani!
Hiyo kazi imenishinda mi mzembe mzembe sana ujue!Hahaaa we tafuta tu utaniona
Au kile kipindi mwalimu anaita karatasi kuanzia marks ya chini hadi ya juu.
NMB eeeh
Huyu ni wewe? Afadhali nipo night shift, nimeona vya kuonwa. Umesahau kuachia dimples kidogo...For your night shift.... Au wataka kalad? Satoh Hirosh View attachment 2027569
Sio kila picha uwa nasmile 🤣Huyu ni wewe? Afadhali nipo night shift, nimeona vya kuonwa. Umesahau kuachia dimples kidogo...
Mbona hatari hii!!!
Kumbe hapo ulinuna! Mkuu safari ya AR inaiva😂😂sema bwana wameru wakishika panga/kisu lazima dam itoke🏃🏃🏃Sio kila picha uwa nasmile 🤣
Mkuu umeua! Dental formula ipo vizuri na kale ka dimpoz nimekaona. Uncle amdkukubali dadeq!🥂💪View attachment 2027644
Nacheeeeekaaaa
Hahah ankoo 😉Mkuu umeua! Dental formula ipo vizuri na kale ka dimpoz nimekaona. Uncle amdkukubali dadeq!🥂💪
Nawaza hapa, vile December itapitaje na matumizi yake..vile January itapitaje na majukumu yake.. usingizi ukakataHahah ankoo
Ely ila kwanini hujalala?