Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IRINGA 08:51AM
IMG_20211130_082119_868.jpg
 
Kale kafeeling kanakuwepo pale paper yako inapobaki ya mwisho
Unajisikia nani sijui.
Speed test std 7. Hisabati maswali 50, nikajibu maswali 49 swali la mwisho nikaweka signature kwenye jibu. Nikascore 49/50, aisee mwalimu alinitia stiki nyingi akaona ni dharau. Nilipelekwa ofisi ya walimu aisee usiombe ukapelekwa ofisini halafu walimu wakaalikana
 
Umejuaje...kwa kweli nakojoa pazuri sana mkuu

Habari za asubuhi mkuu Satoh Hirosh
Habari za asubuhi kwangu ni kwema kbs mkuu
Leo tumeamka na baraka ya mvua

Kuhusu huyo mtoto Depal mtunze sn maana kuna wahuni tunammezea mate mithili ya fisi anavyotoka udenda Kwa kusubiri mkono wa binadamu uanguke pale anapoirusha rusha wakati anatembea😁
 
Speed test std 7. Hisabati maswali 50, nikajibu maswali 49 swali la mwisho nikaweka signature kwenye jibu. Nikascore 49/50, aisee mwalimu alinitia stiki nyingi akaona ni dharau. Nilipelekwa ofisi ya walimu aisee usiombe ukapelekwa ofisini halafu walimu wakaalikana

Mkuu wewe ulikuwa wale watu watukutu shule halafu vipanga ..

Hapo kila mwalimu anakuchapa anavyojisikia.
 
Back
Top Bottom