Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,341
Huyo samaki anaitwaje?
Huyo samaki anaitwaje?
Dada nitaoa kesho
Mkuu T 1990 ELY kwani unamchukuliaje 😁😁😁Mambo yanabadilika sana humu ndani... adi kina T 1990 ELY washa pata wachumba... Hongeren sana View attachment 2027258
T 1990 ELY nipate mchumba ndugu nipo naendelea kufa na utamu wangu kama muwaMambo yanabadilika sana humu ndani... adi kina T 1990 ELY washa pata wachumba... Hongeren sana View attachment 2027258
Kijana mwema
Nitaweka yako mchumba..nitafutie pic yako nzuriWeka ile ya mwanzo kabisa yenye vyupa vya pombe.
Ukiikosa weka picha yangu
Kwema mkuu ... Za weweT 1990 ELY nipate mchumba ndugu nipo naendelea kufa na utamu wangu kama muwa
Nimekumisslavuzi mpendwa
Kwema qeen jojo
Chagua yoyoteNitaweka yako mchumba..nitafutie pic yako nzuri
Sawa usioe mwenye msambwanda kunizidi wifi yake hapaDada nitaoa kesho

Hahahahaha........Sawa usioe mwenye msambwanda kunizidi wifi yake hapa
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Nipigie sahizi kwa namba hile ya 264684,,,,
AminaKijana mwema
Ijumatano nina safari ya bariadi mkuu
Ooh!!Habari njema na salama kabisa hiiIjumatano nina safari ya bariadi mkuu
Hapa safi mkuu wangu T 1990 ELY