Selfika na JF: Snap it. Show it

Sorry if you got this wrong..
Ila naonaga wanawake hawapendi sana series..hafu hao wachache wanaipenda sana hii. Naona wanawake hawapendi sana crimes n Drugs series. Ila hii nishaona wengi wanaipenda wanawake
🙂

Kuwajibia wengine....I would assume they might like the good looking dudes 💁🏾‍♀️💁🏾‍♀️

As for me...I'm a series/movie junky. I can watch up to 15 epis (45min) of anything I like on my lazy day. Drama, comedy, crime, scifi....you name it.

Kuhusu Power Book II, binafsi nimeangalia for entertainment purposes...but also as a creative following up on the story...characters arcs etc. etc.
 
20210124_184151.jpg
 
Mapenzi ya moyoni mwangu joto baridi, yanapeta kwenye hali ukaidi.
Ndo maana acha nitulie (nikupe nyama+2),
Ukiniumizaga wala me sizimii, wee nipende nidekeze my dea.
Ndo maana cheat kidogo (nikupe laana+2),

Oooh my ona ukinigusa navo feel shy, wee utamu na mizuka ya mapenzi hayaa.
Ona wee haya haya haya.
Oooh wee tena usijaribu me nita die, kunichezea kuniacha hiyo kitu mbayaa.
Ona wee haya haya haya.

NUMBER ONE
FB_IMG_16115305697215793_1611530895176.jpg
 
Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii , Jinsia , na Watoto , Ndugu Doroth Gwajima amepiga Marufuku Neno Kibamia linalotumiwa sana na Wanawake katika kuwadhalilisha Wanaume hasa wakiachana.
"Kuna tabia imeibuka siku za karibuni na imeendelea kuota mizizi unakuta dada akiwachana tu na aliyekuwa mpenzi wake basi silaha ni kumtangaza kwamba ana 'kibamia' huu ni udhalilishaji kama udhalilishaji wa kijinsia na wanaume wengi wameharibiwa saikolojia kwa kutamkiwa neno hili 'kibamia' hivyo ni marufuku neno hili kutumika kwenye jamii na mwanaume akidhalilishwa kwa kutamkiwa neno hili akaripoti kituo cha Polisi adhabu ni faini ya kulipwa laki tano au mtenda kosa aende jela miezi sita au vyote kwa pamoja." Waziri Doroth Gwajima.
.
SHARE
 
Hatimaye Wanaume tuliokuwa tunadhalilishwa na akina Dada tumepata mtetezi, Mungu atupe nini tena 💪

Sasa nitatembea kifua mbele, ole wao akina Minnah, Sarah, Linnah waniite Kiba100 tena, miezi 6 Jela itawahusu 🕺🏻😅
 
Back
Top Bottom