Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii , Jinsia , na Watoto , Ndugu Doroth Gwajima amepiga Marufuku Neno Kibamia linalotumiwa sana na Wanawake katika kuwadhalilisha Wanaume hasa wakiachana.
"Kuna tabia imeibuka siku za karibuni na imeendelea kuota mizizi unakuta dada akiwachana tu na aliyekuwa mpenzi wake basi silaha ni kumtangaza kwamba ana 'kibamia' huu ni udhalilishaji kama udhalilishaji wa kijinsia na wanaume wengi wameharibiwa saikolojia kwa kutamkiwa neno hili 'kibamia' hivyo ni marufuku neno hili kutumika kwenye jamii na mwanaume akidhalilishwa kwa kutamkiwa neno hili akaripoti kituo cha Polisi adhabu ni faini ya kulipwa laki tano au mtenda kosa aende jela miezi sita au vyote kwa pamoja." Waziri Doroth Gwajima.
.
SHARE
now time itakua Tango on the truck. Mweeeeeeh mbavu sina lol
 
ila wee hapana khaaaah.
Nilinyanyasika Sana, nilidhalilishwa Sana mpaka nikawa naogopa kukutana nao

Ila saivi nitatembelea mitaa yao makusudi nikiwa na kinasa sauti, ole wao wanicheke tena miezi 6 itawahusu 🕺🏻
 
Nilinyanyasika Sana, nilidhalilishwa Sana mpaka nikawa naogopa kukutana nao

Ila saivi nitatembelea mitaa yao makusudi nikiwa na kinasa sauti, ole wao wanicheke tena miezi 6 itawahusu
hawakomi ni kiba100 mwanzo mwisho, huyu waziri nae asituchoshe khaaaaah.
 
Mbona na wewe unanisema vile vile, angalia nina kinasa sauti hapa nilipo nisije kukutupa miezi 6 bure
Ila bhana wee kuna wanaume wana ubo...o km wa mtoto wa chekechea ili hali ni mtu mzima, inapoteza hata hamu ya mgegedo khaaaah
 
Ila bhana wee kuna wanaume wana ubo...o km wa mtoto wa chekechea ili hali ni mtu mzima, inapoteza hata hamu ya mgegedo khaaaah
Ndiyo yale yale aliyosema Mhe. Waziri nyie ndiyo mnafanya tushindwe kujiamini

Mnatutoa nje ya game kabla hata ya kuingia.

Chagua moja kubwa inayokutosha u3ndelee kujisevia, ukichanganya kubwa na ndogo ndiyo hapo sisi wengine mnatuita viba100 kwa sababu umepata ya kuilinganishia
 
Wala hata kuna size tofauti ktk kiba100, kuna zingine zimezidi aaaaah wee, yaan ukiona tyuuh hadi mishipa ya nyege inasinyaaah khaaaaah.
Ila poleeeh zao wahusika wa viba100,
 
Wala hata kuna size tofauti ktk kiba100, kuna zingine zimezidi aaaaah wee, yaan ukiona tyuuh hadi mishipa ya nyege inasinyaaah khaaaaah.
Ila poleeeh zao wahusika wa viba100,
Chagua size yako itakayokutosha baada ya hapo hakuna viba100 tena.

Shida yake ni nyie kuchanganya size.

Ingefaa Mwanaume wako wa kwanza ndiyo huyo huyo akuoe
 
20210125_113646.jpg

Sijapita huku mda 🙁
 
Chagua size yako itakayokutosha baada ya hapo hakuna viba100 tena.

Shida yake ni nyie kuchanganya size.

Ingefaa Mwanaume wako wa kwanza ndiyo huyo huyo akuoe
Weeeh hakna kuchanganya size tofauti huu ni uongo tyuuh, yaan unaona ki ubo....o hadi unajiuliza "hiki ndo kiingie kwenye tupu yangu?" Hakuna ku enjoy wala nn inakua kufake ili kumridhisha mwenza,
Wengine hatuwezi kufake, nakuchana makavu "wee hicho kijiti chako mie siwezi kukitumia hebu vaa nguo zako tyuuuh"
 
Jiangalie ukinisema Mimi hiyo miezi 6 itakuhusu, nimeshapewa rungu na Mhe. Waziri 💪
 
Back
Top Bottom