T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,088
- 30,487
Aiseeeeee!!Sitetei mie naviponda mbona, kiba100 nani anataka kuchafuana? Akaaaaaash lol
Hahaha.....kuchafuana tena!!
Aiseeeeee!!Sitetei mie naviponda mbona, kiba100 nani anataka kuchafuana? Akaaaaaash lol
Kaa kwa ukakamavu, Rungu la miezi 6 tunalo. Ukisema suu nakushushia right here right now 😂💪[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo waziri nae asituchoshe bhanaah.
Wee kiba100 kinakata stimu kabisa, hakina amsha amsha, hakifiki kunako, kinaperea tyuuh, nani anataka kuchafuana. AkaaaaaaahAiseeeeee!!
Hahaha.....kuchafuana tena!!
Wee hakna kitu km hicho hapaah, VIBA100 on the truck. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaa kwa ukakamavu, Rungu la miezi 6 tunalo. Ukisema suu nakushushia right here right now [emoji23][emoji123]
😭😭😭😭😭Wee hakna kitu km hicho hapaah, VIBA100 on the truck. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamama wengi basi wanafeli Sana[emoji134]Thanks Anne [emoji847]
Ila watoto ni kisingizio tu mama....kula kula ndo kunatuponza [emoji2957][emoji2957]
Aiseeeeee!!
Hahaha.....kuchafuana tena!!
Wee hakna kitu km hicho hapaah, VIBA100 on the truck. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo mmeamka na vibamia🤣😭😭😭😭😭
.Sitetei mie naviponda mbona, kiba100 nani anataka kuchafuana? Akaaaaaash lol
Waziri wa afya amekemea matumizi ya neno kiba100 kuanzia leo Chief.Leo mmeamka na vibamia🤣
Poleeeeeeh[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Punguza kunionea, kabla sijamwita Dr Dorothy Gwajima 😭Poleeeeeeh
Aslam aleiy'kum warahmatullah wabaraqat[emoji137]Salaam bibie
Yaani huyu dada anautunza mwili wake vizuri.Chukua tu summary leoleo! Kwakweli nyama uzembe sio.
Wala hayawezi yakanikera.Kuhusu miili mikubwa nilihisi labda nyie Wanyaki ni asili yenu.
Nimetembea tembea kidogo Mkoa wa Mbeya Uyole, Iyunga, Vwawa hadi Tunduma nimeona wamama wengi wana asili ya miili mikubwa na Vitambi kidogo.
So I concluded pengine ni asili ya miili yenu
Pole kwa maoni yangu, iwapo yatakukela bibie
[emoji23][emoji23][emoji23] na aje tyuuh yaan tukufanyie uchunguzi kuthibitisha vile madai yako.Punguza kunionea, kabla sijamwita Dr Dorothy Gwajima [emoji24]
Bahati iliyoje hii[emoji23][emoji23][emoji23] na aje tyuuh yaan tukufanyie uchunguzi kuthibitisha vile madai yako.
Mbona hao wanyakyusa asilimia kubwa wana hizo shepuThanks for your maturity [emoji122]
Unachosema ni sahihi kuhusu Mtindo wa maisha hasa ya kula kula unavyoweza kuchangia hiyo miili mikubwa na vitambi
By the way ukipata Binti mdogo ambaye hajazaa unaona kabisa na Umbo namba 8 lilivyojichora kirahisi huwezi dhani ni Mnyaki hata[emoji39][emoji39][emoji87]
Nikaribishe nikutembelee jirani , si unajua safari moja huanzisha nyingine[emoji85][emoji1322][emoji1322]
Mfungulie kwanza MunguImeandikwa bisheni nanyi mtafunguliwa
Mbona hutaki kunifungulia jirani [emoji85]