Migomba kama tukuyu kwetu
Pole sana mkuuMy dog has lost one eye today while fighting with other dog. So sad😔😔😢😢😭
Aaah na ukanda huo inakubali pia??Lushoto iyo
Jaman hayo mapicha yakowapMkuu,
Binafsi wala sina shaka na akili kubwa Mungu aliyokupa, sina shaka kabisa. You're so exposed na dunia na ndio maana upo hapo ulipo, hoja yangu ni kuyaweka ya chumbani yabaki huko, zile picha mimi sikuzipenda na nilikuwa wa kwanza kukukrash. Hata kama umeamua kuwa shoga, basi sawa lakini usituonyeshe, tumekataa kuzitizama.
Hakuna atakayekupangia nini ufanye, ila content za kishoga tumekataa usipost humu. Mashoga humu wapo kibao, wezi, majambazi, malaya, wahuni..nk Ila tukae nayo huko.
hujamboNaam mkuu
niombeeMe naomba ningojee mrejesho baada ya mkuu kumaliza siku mia![]()
YOU! Amen. Nice sunday Gods peopleAmeeeenDear God, I thank You for another Sunday morning, You have brought me to the beginning of a new day and I ask You to renew my heart with Your strength and purpose. Forgive my errors of yesterday and help me to walk closer in Your way today. Shine through me so that every person I meet may feel Your presence in my soul. Take my hand for I cannot make it by myself. IYOU! Amen. Nice sunday Gods people
Hahaha....kat@ko fulani hivi amaizing.
Picha nimuoneMy dog has lost one eye today while fighting with other dog. So sad😔😔😢😢😭
Usijar mkuuniombee
Mmmh wee Ngosha taratibu mambo yako lol.Hahaha....kat@ko fulani hivi amaizing.


Hivi huyo Kaka wa kikwete hakua na mji wake, Kama ni ndio kwa Nini msiba usiwe nyumbani kwa marehem badala yake unakuwa kwa mdogo wake!!TANZIA
Innalilahi Wainnaillaih Rajiuun. Nawajulisha taarifa ya Msiba mkubwa wa Kaka yetu Mkubwa Bwana Khalfani Selemani Kikwete aliyefariki asubuhi hii .Msiba upo Msasani Nyumbani kwa Mh.Raisi Mstaafu Dr. Jakaya Mrisho kikwete. Taratibu za mazishi na mengineyo tutajulishana.
Ahsanteni sana.
Kwa Niaba ya Familia
Ridhiwani J. Kikwete (Mb)
