Selfika na JF: Snap it. Show it

20191130_125139.jpeg
20191130_125201.jpeg
20191130_125219.jpeg
 
Nauli zinaenda kama ifuatavyo.
Economy 25,000/-
Business 35,000/-
VIP. 50,000/-
Royal. 60,000/-

Ila boat mpya nimeona ina ziada kidogo, kuna madaraja ya 30,000 na 80,000/-
View attachment 1276880
View attachment 1276882
Hiyo ni Royal class ya 80,000/-

Ratiba ni kama ifuatavyo

7:00
9:30
12:30
16:00

Hizo ni boat kuondoka Dar na Zanzibar.
Kwa sasa ukitaka kuivizia mpya, inaondoka saa moja Dar, inageuza saa tatu na nusu, inaondoka Dar tena saa sita na nusu, inakuja kugeuza saa kumi kutoka Unguja. Inapumzika hadi kesho yake asubuhi.
Asante kwa taarifa.

Cc 4G LTE
 
Back
Top Bottom