






Hapo zenji hata ukikosa nauli unaweza pata lifti majahazi ya wavuvi![]()
Hahahaha I see what you just did thereI have white suede, blue suede, black suede, I have brown and cognac
I have suede for dancing and for pneumonia
I have suede for New York and for California
I have suede for Dar, when I come to join ya...
Niliamua kuweka kwa category, hapo ni brown themed boots tu. Vimoka na sneakers sijaweka. Hata black boots sijaweka.
Suede napenda sana.
Mmhh kaka naona hunitakii mema,, mie nilivyo muoga wa maji na sijui kuogelea safari ya masaa 2 naanzaje kupanda majahazi ya wavuvi na yanavyopataga ajali karibu kila siku yale??
Majahazi labda nikiwa naenda Mbudya au Bongoyo dakika 20 ndiyo nitapanda ila siyo Zanzibar wala Pemba![]()
I don't want to floss too much. Others have to shine too.Hahahaha I see what you just did there
True that!I don't want to floss too much. Others have to shine too.
Mimi pia naivizia hii seven angalau niipande bado mpya
Usije ukapanda jahazi ndugu yanguMmhh kaka naona hunitakii mema,, mie nilivyo muoga wa maji na sijui kuogelea safari ya masaa 2 naanzaje kupanda majahazi ya wavuvi na yanavyopataga ajali karibu kila siku yale??
Majahazi labda nikiwa naenda Mbudya au Bongoyo dakika 20 ndiyo nitapanda ila siyo Zanzibar wala Pemba![]()
Hahah mbona watu wanayapanda sana yale...
Huwa yanasafirisha sana mizigo kati ya Bara na Zenji...


Aisee kumbe?? Ila sasa ndiyo itabidi nijifunze kuogelea kwanza kwa kweli!!
ShkamooDaah
Aiseeem nilikaa mwisho mwisho kule kwa mwisho
JamaniAah unaniangusha mwanakamat
JamaaaniiiKachoyooo kakangu

Acha uchochezi wakoo bana mganga