Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Aliyesema Wazee hatuna wivu nani😅

Siku ukija kututembelea Likizo, nitakusimulia kisa Fulani na Bibi yenu Mwaka 1982, yaani bila kuchomwa zile sindano za kuniamsha mbona Presha ilitaka kuniua Kwa Wivu 🙌
Kwa umri wako better not involve in such kinda of things babu utakufa siku si zako!

Usiseme sijakushauri
 
The vibe
FB_IMG_17093657787806516.jpg
 
Hongereni kutuletea movie Kali Mjini 🤗

Hivi hakuna nafasi ya Mzee kuigiza? Nipeni hiyo nafasi tafadhali 🤗

Kesho nitakuja kuwaunga Mkono Kwa kuwaletea walau Maji ya kunywa mkiwa hapo location 😜
Mwakemwake anatosha😂
Karibu Tukuyu tuvune michaichai
 

Attachments

  • IMG_20240608_163227_970.jpg
    IMG_20240608_163227_970.jpg
    1.9 MB · Views: 8
  • IMG_20240608_165136_517.jpg
    IMG_20240608_165136_517.jpg
    1.5 MB · Views: 9
Back
Top Bottom