Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Christmas Mood


IMG_4235.JPG
 
Oohh daah itabidi nifanye mpango aise

Cc Relief Mirzska
Nauli zinaenda kama ifuatavyo.
Economy 25,000/-
Business 35,000/-
VIP. 50,000/-
Royal. 60,000/-

Ila boat mpya nimeona ina ziada kidogo, kuna madaraja ya 30,000 na 80,000/-
View attachment 1276880
View attachment 1276882
Hiyo ni Royal class ya 80,000/-

Ratiba ni kama ifuatavyo

7:00
9:30
12:30
16:00

Hizo ni boat kuondoka Dar na Zanzibar.
Kwa sasa ukitaka kuivizia mpya, inaondoka saa moja Dar, inageuza saa tatu na nusu, inaondoka Dar tena saa sita na nusu, inakuja kugeuza saa kumi kutoka Unguja. Inapumzika hadi kesho yake asubuhi.
 
your Clarks game is on point!
Don't see no suede's though....or are you not a fan?
I have white suede, blue suede, black suede, I have brown and cognac
I have suede for dancing and for pneumonia
I have suede for New York and for California
I have suede for Dar, when I come to join ya...

Niliamua kuweka kwa category, hapo ni brown themed boots tu. Vimoka na sneakers sijaweka. Hata black boots sijaweka.

Suede napenda sana.
 
Back
Top Bottom